Fomu ya Mkopo — Loan Application

TRA SACCOS LIMITED

CHAMA CHA USHIRIKA CHA AKIBA NA MIKOPO — FOMU YA MAOMBI YA MKOPO

SDL · AFYA · ELIMU · JIPANGE

1
Taarifa Binafsi
2
Mkopo
3
Dhamana
4
Madeni
5
Tamko
6
Wadhamini
Maelezo ya Kuzingatia:
  1. Mwombaji anatakiwa kuwa na namba ya simu iliyosajiliwa na huduma za pesa AU akaunti ya benki iliyosajiliwa kwa jina lake.
  2. Ambatanisha stakabadhi ya mshahara wa mwezi husika (Current Salary Slip).
  3. Marejesho yanaweza kufanyika kwa Makato ya Mshahara au Bank Standing Order.
  4. Ikiwa malipo yanafanyika kwa Standing Order, ambatanisha hati iliyogongwa Muhuri wa Benki na kuthibitishwa na Kamishna wa Viapo.
  5. Adhabu ya 10% itatozwa kwa kushindwa kulipa kwa mwezi husika.

💡 Fomu hii inahifadhiwa otomatiki. Unaweza kuacha na kurudi baadaye — hata mkondo wa umeme ukikatika. Tumia kitufe cha 🔑 Msimbo wa Kuendelea juu ya ukurasa huu kukumbuka mahali ulipoacha.

📖 Mwongozo wa Fomu: 🇹🇿 Swahili (PDF)
B. MAELEKEZO BINAFSI YA MKOPAJI
1. Jina Kamili la Mwombaji
Inatumika kuhesabu tarehe ya kustaafu (miaka 60)
2. Taarifa za Ajira
3a. Taarifa za Kibenki
3b. Namba ya Malipo kwa Mtandao wa Simu
Lazima iwe imesajiliwa kwa jina lako
4. Taarifa za Makazi na Mawasiliano
5. Ndugu wa Karibu (Next of Kin) *

Wanaokubalika: Mwenza (Mume/Mke), Mtoto, Wazazi, au Ndugu wa Kuzaliwa Pamoja. Ndugu wote wawili wanahitajika.

Na. Jina Kamili * Uhusiano * Namba ya Simu *
1
2
C. UNYAMBULISHO WA MKOPO
7. Kiasi cha Mkopo
Mkopo wa zamani unaoendelea
8. Aina ya Mkopo *
Inapakia aina za mikopo...
9. Madhumuni ya Mkopo *
Muda wa Marejesho
Inahesabiwa kwa Reducing Balance Method
D. TAARIFA ZA DHAMANA ZA MKOPAJI
10. Dhamana za Nyongeza

Tafadhali ambatanisha uthibitisho wa dhamana

Na. Aina ya Dhamana Mahali Ilipo Thamani (TZS)
1
2
3
4
D. TAARIFA ZA MADENI / MIKOPO KATIKA ASASI NYINGINE
11. Madeni Katika Asasi Nyingine za Fedha
Jina la Mkopeshaji Kiwango Unachodaiwa (TZS) Tarehe ya Mwisho wa Marejesho Marejesho kwa Mwezi (TZS) Kiasi Kilichosalia (TZS)
📋 Hatua za Kufuata:
  1. Jaza taarifa za wadhamini (majina, simu, anuani) hapa chini
  2. Bonyeza "🖨️ Chapisha Fomu Iliyounganishwa" — fomu moja itakayojumuisha Tamko lako na la Wadhamini
  3. Wewe na wadhamini wawili msaini mbele ya Kamishna wa Viapo — Kamishna anasaini mara moja tu kwenye Sehemu E
  4. Piga picha au scan ya kurasa zote zilizosainiwa na uzipakiwe hapa chini kama faili moja
F. TAMKO LA MDHAMINI WA KWANZA
G. TAMKO LA MDHAMINI WA PILI
Fomu moja itakayojumuisha Sehemu E, F na G — jaza taarifa za wadhamini kwanza
📎 Pakia Fomu Iliyounganishwa Iliyosainiwa *
Pakia fomu moja iliyounganishwa (Sehemu E, F na G) iliyosainiwa na wewe, wadhamini wako wote, na kuthibitishwa na Kamishna wa Viapo. Unaweza kukusanya kurasa zote na kuzipakia kama faili moja. Inakubaliwa: PDF, JPG, PNG (max 5MB)
Inatuma maombi yako, tafadhali subiri...
E. TAMKO LA MKOPAJI
📋 Hatua za Kufuata:
  1. Soma tamko hili kwa makini — limejazwa kiotomatiki na taarifa zako
  2. Bonyeza "🖨️ Chapisha Tamko" ili upate nakala ya kuchapishwa
  3. Saini nakala hiyo mbele ya Kamishna wa Viapo — pamoja na wadhamini wako. Kamishna anasaini mara moja tu kwenye fomu hii (Sehemu E) na saini hiyo inashughulikia pia Tamko la Wadhamini (Sehemu F na G).
  4. Piga picha au scan ya ukurasa uliosainiwa kisha upakiwe hapa chini
E. TAMKO LA MKOPAJI
  1. Mimi (majina matatu) ___________________________ (ambaye ni Mkopaji katika Mkataba huu nitahusisha mali zangu, warithi wa mali zangu, wamiliki, wasimamizi na wadhamini ikibidi) nikiwa na akili timamu na bila kushurutishwa na mtu yeyote, nimekubali kukopeshwa na MKOPESHAJI kiasi cha Mkopo wa Shilingi za Kitanzania (kwa tarakimu) ___________________________ (kwa maneno) ___________________________.
  2. Na kwamba nimekubali kulipa kiasi cha mkopo na riba asilimia _______ kwa mwaka kwa njia ya Reducing Balance Method.
  3. Na kwamba natakiwa niwe nimerudisha Mkopo pamoja na riba ndani ya kipindi cha miezi _______ kama ilivyoainishwa kwenye jedwali la urejeshi mkopo. Nimekubali kulipa kwa kukatwa kwenye mshahara wangu / Bank Standing Order kiasi cha marejesho kwa muda wa miezi _______ kwa mujibu wa tarehe ya mshahara wa Mwajiri wangu / tarehe 24 kila Mwezi jumla ya Tsh ___________________________ (pamoja na riba)(kwa tarakimu) Yaani (kwa maneno) ___________________________.
  4. Na kwamba ikiwa Mwajiri au Benki yangu haikuwasilisha makato kwa sababu yoyote ile, nitawajibika kulipa kiasi cha marejesho kwa kuweka fedha kwenye akaunti za Benki ya Mkopeshaji (Direct Deposit).
  5. Na ikiwa nitashindwa kufanya hivyo, MKOPESHAJI atachukua hisa za hiari, akiba na mali zangu kwa mujibu wa sheria ili kurudisha deni lote, riba ya kawaida pamoja na riba ya adhabu na gharama ambazo Chama kitaingia kutokana na ufuatiliaji wa ulipaji wa mkopo huu. Na kwamba makubaliano haya yataendelea kuwa na nguvu dhidi yangu hata kama nitafukuzwa kazi, kuacha kazi au kuhamia taasisi nyingine.
  6. Ninathibitisha kuwa nimesoma kwa makini na kuelewa vipengele na masharti yote ya mkopo huu na kwamba nimekubaliana nayo na nimetia saini kwa hiari yangu bila kulazimishwa au kushurutishwa na mtu yeyote.

NB: MKOPESHAJI — Katika Tamko hili Mkopeshaji ni TRA SACCOS LTD.

📋 Hatua Inayofuata: Jaza Taarifa za Wadhamini
Tamko lako (Sehemu E) litaunganishwa pamoja na Tamko za Wadhamini (Sehemu F na G) kuunda fomu moja. Utachapisha na kupakia fomu hiyo moja baada ya kukamilisha taarifa za wadhamini katika hatua inayofuata.